WCB Washika Top 10 Video za Muziki za Bongo Kwa Kutazamwa

WASANII wanaofanya kazi chini ya lebo ya muziki ya Wasafi Classic Baby (WCB), ni pamoja na bosi wa lebo hiyo Diamond Platnumz na wasanii wake Rayvanny, Harmonize, Lavalava  na Queen Darleen.

Kwa mwaka huu mpaka sasa video za muziki za Tanzania zilizoangaliwa zaidi kupitia mtandao wa YouTube kwa mujibu wa mtandao wa dbase.tube ambao unatoa data na takwimu mbalimbali kuhusu kazi za wasanii zinazopakiwa kupitia mtandao huo duniani wasanii kutoka katika lebo ya muziki ya Wasafi Classic Baby (WCB) wameshika nafasi ya kwanza mpaka ya kumi.

Hapa chini nimekuwekea top 10 yote

1. Diamond Platnumz Ft Mr Flavour – Nana
47,282,391

2. Diamond Feat Davido – Number One Remix (Official Video)
35,177,533

3. Harmonize Ft Diamond Platnumz – Kwangwaru (Official Music Video)
33,142,849

4. DIAMOND PLATNUMZ ft OMARION – African Beauty (Clean Version)
27,227,678 

5. Diamond Platnumz ft Rayvanny – Salome (Traditional Official Music video)

27,193,447

7. Diamond Platnum – Marry You ft. Ne-Yo

26,803,735 views
8. Diamond Platnumz ft P’square KIDOGO (Official Video)
21,640,972

 

9. DIAMOND PLATNUMZ, HARMONIZE, RICH MAVOKO, RAYVANNY – ZILIPENDWA (OFFICIAL VIDEO)
21,090,181


10. HARMONIZE FT DIAMOND PLATNUMZ – BADO
20,442,057


11. Diamond Platnumz – Ntampata Wapi (Official Video HD)
19,716,220

12. Diamond Platnumz ft Khadija Kopa – Nasema Nawe (AFRICANS TWERKING Official Music Video)
18,976,713

13. Alikiba – Mwana (Official Music Video)
16,707,531

14. Diamond Platnumz – Mdogo Mdogo (Official Video)
16,067,20

15. RAYVANNY – KWETU (Official video)
15,787,262

16. Diamond Platnumz – Utanipenda (Lyric with English Translation Video)
13,778,839

Toa comment