The House of Favourite Newspapers

Video: Wekesha Umiliki Simu Janja Ndani ya Miezi 3 tu!

KAMPUNI ya Vodacom imewawezesha watumiaji wa mtandao wake kupata au kumiliki Smartphone wanayoipenda kwa kulipa kidogokidogo kupitia M-Pesa ndani ya miezi mitatu. Ni rahisi sana kumiliki simu uipendayo kupitia huduma hii ya wekesha kidogo kidogo kwa siku 90.

Pia unaweza kumwekeshea rafiki yako aondoke na simujanja mpya.

Piga *149*96# na uchague simu uipendayo kisha ujiunge na mpango wa kuwekesha kidogokidogo.

Malipo ndani ya miezi 3

Comments are closed.