The House of Favourite Newspapers

WIMBO MPYA: Rich Mavoko – Happy

 

MSANII wa Bongo Fleva kutoka Lebo ya Wasafi (WCB), Rich Mavoko ameachia audio ya wimbo wake mpya unaojulikana kwa jina la ‘Happy’, aliyegonga mdundo wa ngoma hii ni S2Kizzy. Ingia Global App na kama huja install, nimekuwekea link hapa chini:

Android ===>GooglePlay

iOS ===>AppStore

Baada ya kuingia bonyeza Menu ya GLOBAL MUSIC

Comments are closed.