The House of Favourite Newspapers

Wolper: Acha Ubonge Uje, Mimi Ni Madam

0

MUIGIZAJI wa filamu ambaye hivi karibu amejipachika jina la Fundi cherehani Jacqueline Masawe Wolper, amesema kuwa hata kama amebongeka, haina shida kwa sababu sasa hivi ni madam.

 

Akizungumza na Amani akiwa dukani kwake Sinza kwa Remmy, alisema kuwa watu wanamwambia kuwa amebongeka! Ukweli ni kwamba, hana matatizo madogomadogo kama watu wanavyofikiria.

“Yaani hata niwe kama Bonge kama nyumba, ni haki yangu jamani, kwa sababu nina raha sana na pia matatizo madogomadogo sina.

 

Maana hivi karibuni mtaanza kuniita Madam Wolper,” alisema staa huyo ambaye muda mwingi alionekana mwenye furaha visiwani humo.

Leave A Reply