The House of Favourite Newspapers

Wolper Akiri Kumpiga Mtu Na Kitu Kizito

0

 

 

JACQUELINE Wolper Massawe au Mama P; ni mwanamama wa Bongo Movies ambaye anakiri kuwa yeye ni mtu wa madili tangu enzi hizo.

Hayo yamezuka baada ya mmoja wa mashabiki wake kumvaa kwa kumwambia kuwa aliwahi kubadili dini kwa ajili ya mapenzi ambapo Wolper alikuja juu na kusema kuwa kwa upande wake hakuwahi kufanya hivyo, bali alikuwa kazini kumpiga mtu na kitu kizito.

 

“Sikuwahi kubadili dini, bali alipigwa mtu na kitu kizito, nilikuwa kazini, Wolper ni mtu wa dili mimi tangu zamani,” anasema Wolper huku akitanguliza na neno kali.

 

Wolper kwa sasa ni mchumba wa mfanyabiashara na mbunifu wa nguo nchini Tanzania aitwaye Rich Mitindo ambaye wamejaaliwa mtoto mmoja wa kiume waliyempa jina la Paskali.

STORI; KHADIJA BAKARI, DAR

Leave A Reply