WOLPER NA X- WAKE FULL KUTUPIANA MADONGO!

staa wa Bongo Muvi

‘Dawa ya Moto ni moto’. Saa chache baada ya staa wa Bongo Muvi, Jacqueline Wolper, kushusha kichambo kinachodhaniwa kuwa ni ‘spesho’ kwa X- wake kwenye ukurasa wake wa Instagram, hatimaye X-wake huyo naye amemjibu kwa staili hiyohiyo.

“Vipi kwani mbona nasikia mtaa wa 3 povu kwani katajwa mtu? Msg ikishafikaga ukweli unaumaga nimechoka mwambie tena anayejifanya anakujua sana pambana na huba lako” ameandika X- wa Wolper.

 

staa wa Bongo Muvi

Baada ya Wolper kuanza na X- wake kujibu, sasa mashabiki wamekaa mkao wa kula kwa kusubiri mashambulizi mengine kutoka kwa Diva huyo, maana ameshaahidi kwamba mtu akimuanza lazima ammalize.

NA ISRI MOHAMED/GPL


Stori zinazo husiana na ulizosoma

Toa comment