The House of Favourite Newspapers

WOSIA wa Mzee Majuto kwa Mtoto Wake Hamza Majuto – Video

MTOTO wa aliyekuwa muigizaji nguli wa vichekesho nchini, Amri Athumani maarufu kwa jina la ‘King Majuto’, Hamza Athumani ambaye hivi karibuni ameteuliwa na Rais Magufuli kuwa Katibu Tawala wa Wilaya ya Bagamoyo, amefunguka juu ya wosia ambao baba yake alimpa kabla ya kuaga dunia.

 

VIDEO: MSIKIE HAMZA AKIFUNGUKA

Comments are closed.