The House of Favourite Newspapers

Xtra Uni Bash 2020 Usipime Kabisa

0

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Innocent Bashungwa (kulia) akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Abubakar Kunenge pamoja na Katibu Mkuu wa WIzara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt Hassan Abbas wakifuatilia kwa umakini tamasha la Xtra Uni Bash lililoandaliwa na Kituo cha redio cha Clouds na kudhaminiwa na Bia ya Guinness Smooth inayotengenezwa na kampuni ya Bia ya Serengeti pamoja na makampuni mengine. Tamasha hilo lilifanyika jijini Dar es Salaam jana.

Baadhi ya wapenda burudani waliohudhuria tamasha la Xtra Uni Bash lililoandaliwa na Kituo cha redio cha Clouds na kudhaminiwa na Bia ya Guinness Smooth inayotengenezwa na kampuni ya Bia ya Serengeti pamoja na makampuni mengine wakiifurahia bia mpya ya Guinness Smooth kabla ya tamasha hilo lililofanyika jijini Dar es Salaam jana.                                                                                                                                                                 
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Innocent Bashungwa akilipuka kwa shangwe wakati wa tamasha la Xtra Uni Bash lililoandaliwa na Kituo cha redio cha Clouds na kudhaminiwa na Bia ya Guinness Smooth inayotengenezwa na kampuni ya Bia ya Serengeti pamoja na makampuni mengine. Tamasha hilo lilifanyika jijini Dar es Salaam jana.
Baadhi ya wapenda burudani waliojitokeza kuhudhuria tamasha la Xtra Uni Bash lililoandaliwa na Kituo cha redio cha Clouds na kudhaminiwa na Bia ya Guinness Smooth inayotengenezwa na kampuni ya Bia ya Serengeti pamoja na makampuni mengine wakijipongeza na bia ya Guinness Smooth kabla ya tamasha hilo lililofanyika jijini Dar es Salaam jana.
Leave A Reply