The House of Favourite Newspapers

Yanga Wadondosha alama mbili katika dimba la Kaitaba dhidi ya Kagera Sugar

0

Wananchi wamedondosha alama mbili katika dimba la Kaitaba kufuatia sare tasa dhidi ya Wanankurukumbi, Kagera Sugar.

FT: Kagera Sugar 0-0 Yanga SC

Ni katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania bara.

Yanga SC wamefikisha alama 31 baada ya mechi 12 huku Kagera wakisalia nafasi ya 13 alama 14 baada ya mechi 14.

Leave A Reply