The House of Favourite Newspapers

Pichaz: Yanga Walivyowasili Dar Wakitokea Comoro

Mchezaji wa Yanga Ali Mustafa Batezi akisalimiana na mshabiki
Wachezaji wa Yanga mbele ni kocha msaidizi walipowasili leo katika uwanja wa Jk Nyerere

 

Haruna Niyonzima (kushoto) na kiongozi wa Yanga
wanahabari na mashabiki wa Yanga

 

Kelvin Yondani akisalimina na mashabiki
Doktari Edward Bavu wa Yanga akifuatiwa na kocha wa makipa Juma Pondamali
Juma Mwambusi Kocha Msaidizi wa Yanga
Kocha mkuu wa Yanga George Lwandamina
Mashabiki wa Yanya wakisukuma kwa furaha gari la Katibu mkuu wa Yanga
Juma Mwambusi Kocha Msaidizi wa Yanga

Mashabiki wakikimbilia basi la Yanga lililobeba wachezaji

Mashabiki wakicheza na kuimba kuipongeza Yanga kwa ushindi wa goli 5 -1 huko Comoro

Mashabiki wakicheza na kuimba kuipongeza Yanga kwa ushindi wa goli 5 -1 huko Comoro

PICHA NA MUSA MATEJA | GLOBAL PUBLISHERS

Save

Comments are closed.