The House of Favourite Newspapers

Yanga Yaanza Vizuri, Yaichapa Asas Djibouti 2-0 Klabu Bingwa Afrika – Video

0
Pacôme Zouzoua (katikati) akifanya yake.

Klabu ya Yanga imepata ushindi wa goli 2 – 0 dhidi ya Klabu ya Asas Djibouti kwenye mchezo wa hatua ya awali ya michuano ya Klabu Bingwa Afrika

Mchezo huo umechezwa katika Uwanja wa Azam Complex, baada ya Asas Djibouti iliyokuwa mwenyeji kuomba kutumia uwanja huo kutokana na uwanja wao wa nyumbani kukosa sifa

Magoli ya Yanga yamefungwa na Aziz Ki (22′) na Kenedy Musonda (53′). Timu hizo zitarudiana Jumamosi Agosti 26, 2023 ambapo Yanga itakuwa mwenyeji wa mchezo

Kennedy Musonda

ALI KAMWE AMPA UPROFESA PACOME, AIFANANISHA YANGA na AL AHLY, ATAMBA KUCHUKUA POINT ZOTE 3…

Leave A Reply