The House of Favourite Newspapers

Yanga Yaitandika Ndanda Uwanja wa Uhuru bao 1-0

0
Kikosi cha timu ya Ndanda FC kilichoanza dhidi ya Yanga siku ya leo Jumamosi kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar. Yanga wameshinda bao 1-0.
Kikosi cha timu ya Yanga kilichoanza leo dhidi ya Ndanda FC.
Mshambuliaji wa Yanga, Obrey Chirwa (kushoto) akipambana na mchezaji wa Ndanda kuwania mpira.
Wachezaji wa Yanga wakimpongeza Ibrahim Ajibu (kushoto) baada ya kutupia bao.
Wakiongea neno.
Mchezo ukiendelea.

TIMU ya Yanga, leo Jumamosi imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Ndanda FC kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Bao la Yanga limefungwa na Ibrahim Ajibu

PICHA: RICHARD BUKOS | GLOBAL PUBLISHERS

Leave A Reply