Michezo Yanga yaifunga Simba bao 2-0 Taifa On Feb 20, 2016 0 Share Mashabiki wa Yanga wakishangilia baada ya Amiss Tambwe kushinda bao la pili dakika ya 72 kipindi cha pili. Mashabiki wakiendelea kushangilia. Amiss Tambwe sasa ana magoli 15 katika VPL, akishika nafasi ya pili nyuma ya Kiiza mwenye 16. A video posted by Shaffih Dauda (@shaffih) on Feb 20, 2016 at 6:37am PST simbaYanga 0 Share