Yanga Yamalizana na Yondani, Juma Abdul, Dante Hakijaeleweka – Video

 

Baada ya mechi ya Township Rollers na Yanga kumalizika kwa bao 1- 1, kwenye mechi za awali za Michuano ya Klabu Bingwa Barani Afrika, mchezo wa marudiano unatarajiwa kupigwa nchini Gaboroun Bostwana, Septemba 9, mwaka huu.

 

Tayari Yanga imeondoka asubuhi hii kwenda mkoani Kilimanjaro ambako wataweka kambi kswa ajili ya maandlizi ya mechi ya marudiano.

 

Pia, wachezaji ambao walikuwa na mazungumzo na viongozi wa Yanga akiwemo mabeki Kelvin Yondani, Juma Abdul, pamoja na Andrew Chikupe ‘Dante’ swamemaliza tofauti zao na kuungana na wachezaji wenzao kambini.

 


Loading...

Toa comment