The House of Favourite Newspapers

Yanga Yampiga Chini Kocha Cedric Kaze

0

Uongozi wa Klabu ya Yanga Umetangaza kumpiga chini kocha aliyekuwa akitarajiwa kutua nchini kwa ajili ya kukinoa kikosi hicho cha timu ya ya wananchi, Cedric Kaze.

 

Kupitia ukurasa wa Instagram wa Klabu hiyo, umeandika kuwa wameaamua kuachaana na Kaze kwa Sababu ameomba aongezewa wiki tatu mbele ndio awasili nchini.

 

‘Uongozi Umeona ni vyema kutafuta kocha mwingine kutoka kwenye orodha ya waliokuwaa wameleta maombi awali haraka iwezekanavyo, na muda si mrefu atatangazwa kocha mwingine ‘ Imeandika sehemu ya taarifa hiyo.

Leave A Reply