The House of Favourite Newspapers

Risasi Latikisa Mtaani, Wasomaji Wamtaja Harmo, Mondi – Video

0

GAZETI Bora la habari za mastaa na Burudani linalochapishwa na Kampuni ya Global Publishers linalotoka kila siku ya Jumatano ‘RISASI MCHANGANYIKO’ na Jumamosi ‘RISASI JUMAMOSI’ limeendelea kuwa gumzo mitaani ambapo wasomaji wa Mbagala wamelisifia na kutaja stori kubwa wanazozifurahia kuwa ni za wanamuziki wakubwa Bongo, Harmonize na Diamond.

 

Risasi ambalo linapatikana mtaani kwa Tsh 800 tu, pia linapatikana kwa njia ya mtandao kupitia Global App ambayo ipo kwenye Android (Play Store) na iOS (App Store) pamoja na www.globalapp.co.tz ambapo unaweza kununua kwa M-Pesa, Tigo Pesa, Airtel Money na Credit Card  kwa Tsh 300 tu.

 

Leave A Reply