The House of Favourite Newspapers

Yanga Yamtambulisha kiungo wa zamani wa Simba Augustine Okrah – Video

0

Klabu ya Young Africans SC imemtambulisha kiungo wa zamani wa Simba SC Augustine Okrah kama mchezaji mpya klabuni hapo.

Yanga imemtambulisha nyota huyo raia wa Ghana wakati wa mapumziko ya mchezo wa kombe la Mapinduzi visiwani humo.

Leave A Reply