The House of Favourite Newspapers

Yanga Yamtambulisha mshambuliaji wake mpya Joseph Guede Azam Complex, Chamazi

0

Klabu ya Yanga imemtambulisha mshambuliaji wake mpya Joseph Guede aliyesajiliwa katika dirisha dogo la usajili akitokea klabu ya Tuzlaspor inayoshiriki Ligi daraja la pili Nchini Uturuki katika dimba la Azam Complex, Chamazi kwenye mchezo wa kombe la Shirikisho Azam (ASFC).

Guede (29) raia wa Ivory Coast amewahi kuchezea pia katika klabu ya FAR Rabat ya Morocco.

Yanga SC imeshinda dhidi ya Hausing FC jumla ya magoli 5-1.

⚽ Mkude 20
⚽ skudu 25
⚽⚽⚽ Mzize 27’ 33’ 57

⚽ Jailos 70’

Leave A Reply