The House of Favourite Newspapers

Yanga Yatambulisha Tariq Seif Kiakala, Atambulishwa Rasmi – Video

0

Mshambuliaji wa zamani wa Biashara United, Tariq Seif Kiakala amesaini mkataba wa miaka miwili kuichezea Yanga.

 

Usajili huo ni kama utawapa ahueni mashabiki wa Yanga ambao ni kama waikosa raha baada ya kuondoka kwa wachezaji wap wawili Juma Balinya na Sadney Urikhob ambao wamevunja mikataba na klabu hiyo.

Wachezaji hao waliachana na Yanga wiki hii baada ya kuomba kuvunja mikataba kwa kuchelewa kulipwa mishahara yao na klabu hiyo kuridhia wakidai nao walikuwa wanawapigia hesabu za kuwatema.

 

Mwenyekiti wa Yanga Dk Mshindo Msolla amesema licha ya changamoto mbalimbali za kiuchumi wanaendelea kupambana kuisuka timu hiyo na kwamba Kiakala umetangulia tu.

Leave A Reply