The House of Favourite Newspapers

TAHARUKI: Aliyedaiwa Kufa Afufuka – Video

0
WAKAZI wa Mwananyamala jijini Dar es Salaam, leo Ijumaa, Desemba 13, 2019 wamejikuta wakiingiwa taharuki baada ya kijana aliyetajwa kwa jina la Ranji wanayedai kuwa  walimzika jana Katika Makaburi ya Kopa Mwananyamala baada ya kufariki, ameonekana akiwa hai.
Kufuatia sakata hilo wanahabari wetu wamefika eneo la tukio na kuungumza na ndugu wa msemaji wa familia ya kijana huyo ambaye ni babu wa kijana huyo alithibitisha kumzika mjukuu wake huyo baada ya ndugu kuukagua mwili huo.

TAHARUKI..!! ANAYEDAIWA KUFARIKI AFUFUKA, NDUGU WABAKI MIDOMO WAZI

Leave A Reply