The House of Favourite Newspapers

YANGA YAPIGWA 3-1 NA KAKAMEGA BOYS, YATUPWA NJE SPORTPESA CUP

Manahodha wa timu za Yanga na Kakamega wakiwa na waamuzi wa mchezo wa kwanza wa Sportpesa Super Cup, kabla mechi haijaanza kwenye Uwanja wa Afraha nchini Kenya.
Beki wa Yanga Abdallah Shaibu ‘Ninja akiondoka mpira langoni mwao kwenye mchezo wa Sportpesa Super Cup dhidi ya Kakamega.
Wachezaji wa Kakamega wakishangilia baada ya kufunga bao la pili kwenye mchezo wa Sportpesa Super Cup kwenye Dimba la Afraha nchini Kenya.
Kikosi cha Yanga kilichoanza kwenye mchezo wa Sportpesa Super Cup dhidi ya Kakamega, kikosi hiki kilichapwa mabao 3-1
Kikosi cha Kakamega kilichoichapa Yanga mabao 3-1, kwenye mchezo wa Michuano ya Sportpesa Super Cup.
Kombe ambalo linawania kwenye michuano ya Sportpesa Super Cup nchini Kenya likionyeshwa wakati wa ufunguzi wa michuano hiyo.

Timu ya Yanga imeaga kwenye michuano ya Sportpesa Super Cup inayoendelea nchini Kenya baada ya kuchapwa mabao 3-1 na Kakamega Boys kwenye mchezo uliopigwa kwenye Dimba la Ifraha nchini Kenya.

 

Hii ina maana kuwa Yanga imeaga michuano hiyo baada ya kucheza mchezo mmoja tu, Simba wenyewe watacheza kesho kutafuta ushindi kwenye michuano hiyo.

PICHA: MUSA MTEJA | GPL -KENYA

Comments are closed.