The House of Favourite Newspapers

Yanga Yatafuna Miwa ya Mtibwa Manungu

0

VINARA wa ligi kuu ya NBC Yanga leo imemaliza mzunguko wa kwanza wa ligi hiyo kwa ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya wakata miwa Mtibwa Sugar mchezo ulipigwa kwenye dimba la Manungu Turiani mkoani Morogoro.

 

 

Magoli ya Yanga yamefungwa na Sadio Ntibazonkiza kipindi cha kwanza dakika ya 45+5 na Fiston Mayele dakika ya 70 akimalizia pasi safi ya Ntibazonkiza.

 

Kwa matokeo hayo Yanga imefikisha alama 39 ikiwa kileleni mwa msimamo wa ligi  NBC wakiiacha Simba kwa alama nane.

 

Leave A Reply