The House of Favourite Newspapers

Yanga Yatambulisha Kocha wa Magolikipa

0

 KLABU ya Yanga SC leo Machi 29, 2021 imemtambulisha rasmi Razak Siwa kuwa kocha mpya wa magolikipa wa klabu hiyo, baada ya kuvunjwa kwa benchi zima la ufundi lililokuwa likiongozwa na kocha Cedric Kaze.

Leave A Reply