The House of Favourite Newspapers

Yanga Yathibitisha Kumsajili Winga Maxi Nzengeli Kutoka Klabu ya Maniema -Video

0

 

Klabu ya Yanga imethibitisha kumsajili Winga Maxi Mpia Nzengeli kutoka klabu ya Maniema Union ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

Max Mpia Nzengeli (23) raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo amesaini kandarasi la kuitumikia Young Africans SC mpaka Juni 2025.

Maxi Mpia Nzengeli anamudu kucheza kama winga wa kulia, winga wa kushoto na kiungo mshambuliaji.

Leave A Reply