The House of Favourite Newspapers

Yvonne Jegede ‘anasa’ kwa Bolanle

0

yvonne jegede datingMastaa wa filamu kutoka Nollywood, Yvonne Jegede ‘ na Bolanle Ninalowo.Yvonne-Jegede-5

Yvonne Jegede

STAA wa filamu kutoka Nollywood, Yvonne Jegede ‘amenasa’ katika uhusiano wa kimapenzi na msanii mwenzake, Bolanle Ninalowo.

Mastaa hao, awali kila mmoja alikuwa akikanusha kuwa na uhusiano na mwenzake lakini hivi karibuni waliibuka pamoja katika Uzinduzi wa Filamu ya Falling, Lagos, Nigeria wakionesha mahaba hadharani.

Leave A Reply