The House of Favourite Newspapers

Zai Kijiwe Nongwa Amrarua Gigy Money – ”Ni Aibu, Angekaa Tu Kimya, Sikulipenda”- Video

0


Mwanadada aliyepata umaarufu mkubwa kwa ucheshi mitandaoni, Zai Kijiwenongwa amefunguka kwamba kamwe hawezi kulazimisha mapenzi pale anapoona hapendwi na kufanyiwa karaha.

Pia amefunguka mambo kibao kuhusu maisha yake binafsi pamoja na kazi zake kupitia Kipindi cha #KonayaMtaa kinachorushwa na @globaltvonline.

Leave A Reply