The House of Favourite Newspapers

Zamaradi afanya usahili wa watoto

0

 

ZAMARADI (3)Mwanamuziki Mwasiti Almasi (kulia) na Kajala Masanja wakifuatilia usahili huo.

ZAMARADI (4)

 Mtangazaji Zamaradi akiwa na Mzee Majuto wakiwaangalia watoto kwa makini (hawapo pichani).

ZAMARADI (1)

Baadhi ya wazazi walioleta watoto wao katika usahili huo.

ZAMARADI (2)

Sehemu maalum iliyokuwa imeandaliwa kwa ajili ya watoto kufanya usahili.

ZAMARADI (5)

Mzee Majuto akitathmini jambo kwa makini.

ZAMARADI (6)

Zamaradi akizungumza jambo.

ZAMARADI (7)
Kajala naye akitazama watoto kwa umakini ili aweze kujaji.

ZAMARADI (9)ZAMARADI (8)

Watoto wakionesha umahiri wao.

Mtangazaji wa Kipindi cha Take-One kinachorushwa kupitia Televisheni ya Clouds, Zamaradi Mketema, jana alifanya usahili wa watoto katika Viwanja vya Leaders, Kindononi, Dar kwa ajili ya tamasha la watoto linalotarajiwa kufanyika Jumapili ijayo kwenye viwanja hivyo.
Mtangazaji huyo ambaye alikuwa ni mmoja wa majaji akiwa na mastaa wa Bongo, Kajala Masanja, Mwasiti Almasi na Amri Athuman ‘Mzee Majuto’.

(PICHA NA IMELDA MTEMA / GPL)

Leave A Reply