The House of Favourite Newspapers

ZANTEL YATO ELIMU NA HUDUMA KATIKA SOKO LA DARAJANI, MJINI ZANZIBAR

Mkurugenzi Mkuu wa Zantel, Sherif El-Barbary (kulia) akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Zantel-Zanzibar, Mohamed Mussa Baucha wakati wa kampeni ya kutoa elimu na usajili wa wateja iliyofanyika hivi karibuni katika soko la Darajani lililopo Stone Town, mjini Zanzibar.
Mkurugenzi Mkuu wa Zantel, Sherif El-Barbary (kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Zantel-Zanzibar, Mohamed Mussa Baucha wakati wa kampeni ya kutoa elimu na usajili wa wateja iliyofanyika hivi karibuni katika soko la Darajani lililopo Stone Town, mjini Zanzibar.
Baadhi ya wauzaji wa huduma na bidhaa za Zantel wakitoa elimu na kufanya usajili wa wateja wapya wakati wakampeni ya elimu na usajili wa wateja iliyofanyika hivi karibuni katika soko la Darajani lililopo Stone Town, mjini Zanzibar.

KAMPUNI ya Zantel wamefanya kampeni ya kutoa elimu na usajili wa wateja iliyofanyika hivi karibuni katika soko la Darajani lililopo Stone Town, mjini Zanzibar hihi karibuni wakiongozwa na Mkurugenzi Mkuu wa kampuni hiyo, Sherif El-Barbary.

Comments are closed.