The House of Favourite Newspapers

Zari Amkataa Mtoto Wa Mobetto Kuwa Wa Diamond,’Namjua Zuchu Na Tanasha’-Video

0

Zari The Boss Lady ; ni mwanamama tajiri Afrika Mashariki na baby mama wa staa mkubwa wa muziki nchini Tanzania, Diamond Platnumz amesema yupo tayari kuwakutanisha watoto wake na mtoto wa kiume wa Hamisa Mobetto, Dylan, ikiwa atajulishwa na mzazi mwenzake, Diamond Platnumz kuwa huyo pia ni mwanae.

Zari ameyasema hayo alipokuwa akifanya mahojiano na vyombo vya habari jijini Dar es Salaam.

Leave A Reply