The House of Favourite Newspapers

Zari Athibitisha ni Mke Bora

0

MWANAMAMA mwenye pesa zake ambaye pia ni baby mama wa msanii Diamond Platnumz, Zari The Boss Lady ame thibitisha kuwa ni mke bora (wife material) baada ya kuonekana kwenye video akim hudumia jamaa anaye semekana ni mpenzi wake mpya kwa kumpigia magoti.

Zari ambaye ni mama wa watoto watano akiwa ni raia wa Uganda mwenye maskani yake nchini Afrika Kusini, ameendelea kusifiwa kwa kitendo hicho akiambiwa ana heshima na anajua mila na desturi za mwanamke wa Kiafrika.

MAJANGA: SOKO LA MBAGALA NALO LATEKETEA, WAFANYABIASHARA WAFUNGUKA KWA UCHUNGU, CHANZO NI MIGOGORO..

Leave A Reply