The House of Favourite Newspapers

Ziara ya Waziri Mkuu Ngara‏

0

IMGS8950Waziri Mkuu, Kassim Majliwa kizungumza na wakimbizi wa Burundi walioko katika kambi ya Lumasi iliyopo wilayni Ngara. Alikuwa katika ziara ya mkoa wa Kagera Machi 15 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

IMGS8951Baadhi ya wakimbizi wa Burundi walioko kwenye kambi ya Lumasi iliyopo wilayani Ngara wakimsikilza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipowahutubia akiwa katika ziara ya mkoa wa Kagera Machi 15, 2916. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

IMGS8990Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akiagana na viongozi kambi ya wakimbizi wa Burundi ya Lumasi iliyoko Ngara viongozi wa wilaya na UNHCR baada ya kuitembelea akiwa katika ziara ya mkoa wa Kagera Machi 15, 2016. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu).

IMGS8993Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na waumishi wa Shirika la Umeme Nchini TANESCO baada ya kuwasili kwenye eneo unapowekwa mtambo mpya wa kufua umeme mjini Ngara ambao aliweka jiwe la msingi la ujenzi wake Machi 15, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

IMGS9035 Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akiweka jiwe la msingi la usimikaji mtambo mpya wa kufua umeme wa Ngara akiwa katika ziara ya mkoa wa Kagera Machi 15, 2016. Kushoto ni Naibu Waziriwa Nishati na Madini Dkt. Kalemani. (Picha na ofisi ya Wziri Mkuu).
IMGS9136Moja ya mabango ambayo yalibebwa na wananchi wa Ngara katika mkutano uliohutubiwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa mjini Ngara Machi 15, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

IMGS9169 Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akizungumza na Wananchi wa Ngara baada ya kuweka jiwe la Msingi la ujenzi wa Mtambo Mpya wa Umeme mjini Ngara Machi 15, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

IMGS9203Waziri Mkuu Kassim Majliwa akizungumza na Watumishi na Viongozi wa Mkoa wa Kagera kuhitimisha ziara yake mkoani humo kwenye ukumbi wa Halmashauri ya wilay ya Ngara Machi 15, 2916. (Picha na Ofisi a Waziri Mkuu)

Leave A Reply