The House of Favourite Newspapers

Zimbabwe: Makamu wa Rais Ajiuzulu

0

Makamu wa Rais wa Zimbabwe, Kembo Mohadi amejiuzulu kufuatia ripoti za Vyombo vya Habari nchini humo kuhusu mienendo yake isiyo na maadili.

 

Katika barua iliyotolewa na Wizara ya Habari, Mohadi amesema ameamua kuachia madaraka sio kwa uoga lakini kama ishara ya kuonesha heshima kwa Ofisi ya Rais.

Vyombo vya Habari viliripoti alikuwa na mahusiano na Wanawake walioolewa akiwemo mmoja wa watumishi wake. Alikana madai hayo wiki iliyopita, akisema ni njama ya kisiasa dhidi yake.

Leave A Reply