The House of Favourite Newspapers

Zitto Kabwe Amteua Membe, Ampa Kazi Hii

0

KIONGOZI wa ACT  Wazalendo, Zitto Kabwe,  amemteua Bernard Membe kuwa Mshauri Mkuu wa Chama hicho kuanzia jana, Agosti 02, 2020.

Zitto amesema amefanya uteuzi huo kwa Mamlaka aliyopewa chini ya Ibara ya 85(1) ya Katiba ya Kiongozi wa Chama hicho.

Membe aliyehamia chama hicho hivi karibuni akitokea Chama Cha Mapinduzi (CCM) anaenda kushika nafasi ambayo awali ilishikwa na Maalim Seif kabla ya kuwa Mwenyekiti wa chama hicho.

Leave A Reply