The House of Favourite Newspapers

Zuchu Atamba Kupata wa Kumsitiri

0

MSANII wa muziki Zuhura Othman Soud almaarufu Zuchu ameachia wimbo mpya ‘Mwambieni’ uliojaa mahaba mazito baada ya kumpata wakumfariji.

 

Wimbo huu ni kama petrol kwenye moto baada ya kuhusishwa kuwa kwenye mahusiano na bosi wake Diamond Platnumz.

 

Kwa sasa wimbo huo ambao unaonekana kupokewa kwa shangwe, umeachiwa asubuhi ya leo unapatikana YouTube kupitia link iliyopo kwenye bio yake.

Leave A Reply