The House of Favourite Newspapers

ZULIA JEKUNDU: Mke wa TRUMP Afanya Kufuru Krismas!

Kila ifikapo Desemba 25 waumini wote wa dini ya kikristo duniani wanasheherekea sikukuu ya kuzaliwa kwa Yesu Kristo ambayo huitwa (Krismas).

Kwa upande wa Marekani ifikapo siku hiyo, Mke wa Rais aliyeko madarakani ndiye mwenye dhamana ya kuandaa hafla ya kusheherekea siku hiyo na ndicho haswa kilichofanywa na Mke wa Donald Trump bibie Melania.

Comments are closed.