×
atrium


Facebook


Mondi, Zari Ndoa Yanukia

CHINI ya kapeti kuna mambo matamu! Msanii Nasibu Abdul ‘Mondi’ na mzazi mwenziye Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ ndoa yao inanukia. Chanzo kutoka ndani…

SOMA ZAIDI

Kisa Jide,Nandy zuchu yamkuta mazito

MREMBO anayekuja kwa kasi kunako anga la Bongo Fleva, Zuhura Kopa ‘Zuchu’ yamemkuta mazito kufuatia shabiki mmoja kutaka asilinganishwe uwezo wake na Judith Wambura ‘Lady…

SOMA ZAIDIFanyeni haya mdumishe penzi lenu

RAHA ya mapenzi ni wapendanao kupendana kwa dhati. Japo mara nyingi hutokea watu wanaoana ikiwa mmoja wao hampendi sana mwenzake, lakini asikwambie mtu, unapoingia kwenye…

SOMA ZAIDIGigy Afichua Siri Ya Jina Lake

  MSANII wa Bongo Fleva, Gift Stanford ‘Gigy Money’, amesema kuwa jina ambalo analolitumia hivi sasa la Gift ni kwamba alijipachika ili tu aendane na…

SOMA ZAIDI
Mimba kuyeyuka kimaajabu kwatikisa

DUNIA ina maajabu mengi, ila mkoani Mbeya kinachotikisa kwa sasa ni mimba kwa baadhi ya akina mama kuyeyuka kimaajabu; UWAZI lina habari kamili.  Chanzo chetu…

SOMA ZAIDIMuna: Sina kinyongo na Wema

MSANII wa filamu Bongo, Rose Alphonce ‘Muna Love’ amesema kuwa hajawahi kuacha kumpenda msanii mwenzake Wema Sepetu licha ya mambo yote yaliyowahi kutokea kati yao. …

SOMA ZAIDI

Mbunge azua gumzo biashara ya mbwa

MBUNGE wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kupitia Viti Maalum, Lucy Simon Magereli amezua gumzo la aina yake kwa jinsi anavyojituma kwa ujasiriamali ikiwemo…

SOMA ZAIDIGLOBAL TV Online