The House of Favourite Newspapers

Ajali: Lori la Dawasco Laparamia Kituo cha Mabasi Dar

0
Gari  lenye namba za  usajili T 369 BUZ linalomilikiwa na DAWASCO likiwa limeparamia kituo cha mabasi
baada ya gari hilo kukosa mwelekeo na kugonga kituo hicho na kujeruhi abiria watatu waliokuwa kituoni hapo. Ajali hiyo ilitokea jana majira ya saa 2 usiku jana eneo la Mbuyuni, Barabara ya Bagamoyo jijini Dar es Salaam
 
(PICHA ZOTE  NA KHAMIS MUSSA)
Leave A Reply