Dully Sykes
Stori: Mwandishi Wetu, RISASI JUMAMOSI
HATIMAYE ile siku iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu na mashabiki wa burudani imefika ambapo leo (Jumamosi) ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijini Dar, kutakuwa na bonge moja la shoo kutoka kwa wakongwe wa Muziki wa Bongo Fleva wakiongozwa na Afande Sele, Dully Sykes, Jafarai, Nature na wengine kibao.
Akichonga na Risasi Jumamosi, Meneja wa Dar Live, Juma Mbizo alisema kuwa mbali na wakongwe hao, makundi mbalimbali ya Bongo Fleva yaliyowahi kutikisa miaka ya nyuma kama Joint Mob, Zig Zag, Solid Ground Family, Mabaga Fresh, Manzese Crew na mengine kibao.
Juma Nature
“Utakuwa ni usiku wa kukumbukwa kunako muziki wa Bongo Fleva, wote tunajua bila hawa muziki huu usingefikia hapa, niwasihi mashabiki waje kwa wingi kwa kiingilio kidogo cha shilingi 7,000 tu utapata kuona burudani zote live,” alisema Mbizo.
Jafarai
KUNUNUA NA KUSOMA MAGAZETI YA GLOBAL PUBLISHERS ONLINE, INGIA HAPA==>VODACOM M-PAPER APP
*********
JIUNGE NA SOCIAL MEDIA ZETU
KWA HABARI ZA KITAIFA, KIMATAIFA, MASTAA NA MIKASA YA KUSISIMUA
INSTAGRAM: @Globalpublishers
ERIC SHIGONGO INSTAGRAM: @ericshigongo
TWITTER: @GlobalHabari
FACEBOOK: @GlobalPublishers
SUBSCRIBE YOU TUBE: Global TV Online
GLOBAL TV ONLINE: www.globaltvtz.com
HADITHI ZA KUSISIMUA NA MBINU ZA UJASIRIAMALI, ERIC SHIGONGO FACEBOOK PAGE:@shigongotz