×

Tag: bungeni

TAMISEMI: Mil. 435 Zatumika Kujenga Madaraja, Singida

NAIBU Waziri Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Zainab Katimba amesema katika mwaka wa fedha 2023/24 jumla ya Shilingi milioni 435 zimetumika katika...

READ MORE

Mbunge Ataka Wafungwa Waende na Magodoro Gerezani

Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Songwe Neema Gerald, amesema kuwa ili kuipunguzia serikali mzigo wa kununua magodoro kwa ajili...

READ MORE

Gwajima Atinga Bungeni Chini ya Ulinzi Mkali – Video

MBUNGE wa Kawe, Askofu  Josephat Gwajima leo Agosti 23 ametii wito kufika mbele Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Haki,...

READ MORE

Ndugai: Hakuna Anayelidai Bunge

SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Job Ndugai amewaonya wanaotoa taarifa za upotoshaji zenye lengo la...

READ MORE

Suala la ‘Single Mothers’ Latua Bungeni

SERIKALI imesema kuwa katika kutambua wanawake wanaobebeshwa mimba na kuachwa bila matunzo, imeandaa sheria ya mtoto inayotoa maelekezo kwa wazazi...

READ MORE

Ndugai Ashauri Wizara ya Fedha Kuchukua Deni la Msd

SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Job Ndugai amesema suala la kukosekana kwa dawa mahospitalini ni la...

READ MORE

Wabunge Walioteuliwa Jana Waaapishwa Bungeni – Video

Wabunge wateule watatu walioteuliwa jana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia ambao ni Dkt. Bashiru Ally, Balozi...

READ MORE

Majaliwa: Familia Imetutaka Mwili Ulale Tarehe 26 – Video

  Serikali imetangaza mabadiliko ya utaratibu wa kuaga mwili wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dkt....

READ MORE

Video: Majibu Ya Waziri Mkuu Bungeni Leo Feb 11, 2021

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa leo Februari 11, 2021 amesema kutangaza nyongeza ya mishahara ya wafanyakazi hadharani hakuna tija kwani kunaongeza...

READ MORE

Ndugai: Ukiwa Mbunge Bubu Umekwisha, Hakuna Kubebana – Video

  MBUNGE wa Jimbo la Kongwa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Job Ndugai, amechaguliwa kuwa Spika wa Bunge la 12...

READ MORE

Ndugai Akutana na ‘Kigingi’, Mbunge Chadema Asimama – Video

MBUNGE wa Jimbo la Kongwa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Job Ndugai, amekutana na kigingi cha kwanza bungeni wakati akiomba...

READ MORE

Bunge Live: Tazama Kinachoendelea Bungeni Muda Huu – Video

Mkutano wa 16 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, umeanza leo Jumanne, Machi 31, 2020 jijini Dodoma ambapo...

READ MORE

Breaking: Kesi Kuvuliwa Ubunge, Maombi ya Lissu Yatupwa

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar  es Salaam, imetupilia mbali maombi ya Tundu Lissu kupinga uamuzi wa Spika wa Bunge, Job...

READ MORE

Nape Aitaka Serikali Itimize Ahadi – Video

MBUNGE wa Jimbo la Mtama, Nape Nnauye, pamoja na kuishukuru serikali kwa kuahidi kutoa fedha kwa ajili ya ujenzi wa...

READ MORE

NAPE ALIAMSHA DUDE: KOROSHO YETU IKO WAPI? MMEDANGANYA – VIDEO

MBUNGE wa Mtama,Nape Nnauye (CCM) ametaka wote waliohusika na kuhujumu Korosho wachukuliwe hatua na wasipochukuliwa ataleta kusudio jinsi walivyofanya mmoja...

READ MORE

Breaking News: HATIMAYE Masele Ajisalimisha kwa Ndugai – Video

MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Bunge la Afrika (Pan-African Parliament – PAP) na Mbunge wa Shinyanga Mjini (CCM), Stephen...

READ MORE

NDUGAI AHOJI ‘KUTOSWA’ MRADI WA BANDARI BAGAMOYO

SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai, ameitaka serikali kueleza kwa nini ujenzi wa mradi wa bandari ya Bagamoyo mkoani...

READ MORE

MJADALA HOT: PIERRE LIQUID KUPAA GHAFLA KISANII

Msanii Peter Mollel almaarufu Pierre Liguid amekuwa maarufu ghafla baada ya Timu ya Taifa, Taifa Stars kuibuka mshindi na kutinga...

READ MORE

MUSUKUMA: Dhahabu Siyo Korosho, Tusiiwekee Masharti Kabisa! – Video

MBUNGE wa Geita, Joseph Kasheku ‘Msukuma‘ ameishauri serikali kuondoa baadhi ya masharti yaliyowekwa kwa wanaoingiza madini ndani ya nchi kutoka...

READ MORE

Mbunge Avua ‘VIATU’ Bungeni “MAGUFULI Katunyoosha” – VIDEO

Mbunge wa jimbo la Serengeti (CCM) Rioba Chacha, ameipongeza serikali kwa kuendeleza viwanda vya ndani ya nchi ambapo ameamua kuvua...

READ MORE

Catherine Ruge: “Sio Trilioni 1.5 Tena, Bali ni Trilioni 2.4” – Video

MBUNGE wa Viti Maalum mkoani Mara, kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Catherine Ruge, amesema, kiasi cha Sh. 2.4...

READ MORE

Baada ya Kumhoji CAG, Hii Ndiyo Kauli ya Kamati ya Bunge

DODOMA: Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge, Emmanuel Mwakasaka, amesema kamati yake...

READ MORE

MIKOA 14 YATEKELEZA KAMPENI YA UPIMAJI VVU

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema hadi sasa mikoa 14 imeanza kutekeleza kampeni ya kitaifa ya kupima VVU kwa hiari pamoja na...

READ MORE

Niliondoka Kama Mkimbizi, Niliazima Ada ya Mwanafunzi – Video

Mwanamasumbwi Hassani Mwakinyo aliyeweka historia baada ya kumtwanga Muingereza, Sam Eggington, leo ametembelea Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...

READ MORE

Waziri Kabudi: “Mnaikejeli Mahakama? Nitaleta Marks Zenu Hapa” – Video

Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Palamagamba Kabudi amesimama Bungeni leo katika mkutano wa 12 na kutoa ufafanuzi kuhusiana na...

READ MORE

Sukari ya Zanzibar Yaibuka Tena Bungeni, Wabunge Wambana Waziri – VIDEO

BAADHI ya wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wamembana Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Charles Mwijage...

READ MORE

Mdee: Jiji la Dodoma Mmeweka Ofisi UDOM, Watoto Wapewe Mimba? – Video

MBUMGE wa Kawe kwa tiketi ya Chadema, Halima James Mdee amedai kwamba taratibu zilizotumika kuibadilisha manispaa ya Dodoma kuwa Jiji...

READ MORE

BREAKING: Prof. Chizza Ala Kiapo cha Uaminifu Bungeni – VIDEO

BUNGENI, DODOMA: Eng. Christopher Kajoro Chizza amekula Kiapo cha Uaminifu kuwatumikia wananchi wa Jimbo la Buyungu, Kakonko, Kigoma. Eng. Chizza...

READ MORE

KIBAJAJI ‘Ampiga Marufuku Nape’ Kuizungumzia CCM – Video

Mbunge wa Jimbo la Mtera (CCM), Livingstone Lusinde ‘Kibajaji’, akichangia hoja bungeni, amemjibu Mbunge mwenzake wa Mtama, Nape Nnauye (hakumtaja...

READ MORE

Waziri Aomba Radhi Maofisa Wake Kupima Samaki kwa Rula – Video

WAZIRI wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina leo Jumatano, Juni 20, 2018 ameliomba radhi Bunge kwa kitendo cha maofisa wa...

READ MORE

Mkuchika: Wakurugenzi Kuhudhuria Vikao vya CCM Hakuna Tatizo – Video

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora, George Mkuchika amesema hakuna ulazima na wala hakuna kanuni au...

READ MORE

MSIGWA: Tutapigana Makofi Hapa, Pesa Mmetoa Wapi – Video

Mbunge wa Iringa Mjini (Chadema), Mchungaji Peter Msigwa, akichangia hoja katika mjadala wa kupitisha bajeti ya wizara ya Fedha na...

READ MORE

SILINDE: Maprofesa Wengi Wemefeli, Hii Ndio Changamoto – Video

MBUNGE wa Momba kwa tiketi ya CHADEMA , Silinde Ernest David, akichangia hoja katika mjadala wa kupitisha bajeti ya Wizara...

READ MORE

BUNGE LAOMBOLEZA KIFO CHA KASUKU BILAGO – VIDEO

SPIKA wa Bunge, Job Ndugai ametoa taarifa rasmi bungeni kuhusu kifo cha MBUNGE wa Jimbo la Buyungu, wilayani Kakonko Mkoani...

READ MORE

SILINDE: Trilioni 1.1 Lazima Zirudi, Hatukubali – Video

Mbunge wa Momba (Chadema), David Silinde, akizungumza bungeni alipokuwa akichangia mjadala wa bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini iliyowasilishwa...

READ MORE

Dakika 2 za Prof. Jay Bungeni Leo – Video

MSIKIE Mbunge wa jimbo la Mikumi kwa tiketi ya Chadema, Joseph Haule ‘Profesa Jay’ akizungumza bungeni alipokuwa akichangia mjadala wa...

READ MORE

Kauli ya Sugu Kuhusu Kukiukwa kwa Misingi ya Mwalimu Nyerere – Video

MBUNGE wa Mbeya Mjini (Chadema), Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ amesema kwa zama hizi sera ya Ushirikiano wa Kimataifa nchini imebadilika ikilinganishwa...

READ MORE

MAMA KIKWETE AMBANA SWALI WAZIRI – VIDEO

Mbunge wa Kuteuliwa, Mama Salma Kikwete leo Mei 18, 2018 amembana swali Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhandisi Stella...

READ MORE