The House of Favourite Newspapers

Wabogojo: Unga Unaangamiza Vijana

Athumani Ford ‘Wabogojo’ akiwa jukwaani

Na GRABRIEL NG`OSHA|RISASA JUMAMOSI| MIKITO NUSUNUSU

MCHEKESHAJI wa kutumia viungo vyake, Athumani Ford ‘Wabogojo’ amefunguka kuwa sakata la kamatakamata kuhusu dawa za kulevya ni la msingi sana kwa Wabogojo: Unga unaangamiza vijana GABRIEL NG’OSHA sababu unga unamaliza sana vijana.

Wabogojo

Akizunguma na Mikito Nusunusu  kwa njia ya simu kutoka Kisiwa cha Macau, nchini China alisema kuwa serikali inachokifanya ni sahihi kwani nguvu kazi nyingi ya taifa inapotea na kuangamia kwa sababu ya dawa za kulevya

.

“Ni vyema kwa serikali  kupambana na biashara hiyo haramu ya madawa ya kulevya maana ndugu, jamaa na marafiki wengi wanaharibikiwa, wengi wanapotea, wengine wanaozea jela kwa sababu ya kufanya au kuhusishwa na matukio kadha kwa kadhaa ya kiharifu.Vipaji vingi vinakufa,’’ alisema Wabogojo.

Comments are closed.