The House of Favourite Newspapers

UHAKIKI WA RIWAYA: WATOTO WA MAMA N’TILIE (sehemu ya tatu)

1
UHAKIKI WA RIWAYA: WATOTO WA MAMA N’TILIE (sehemu ya tatu)
Watoto wa Mama N’tilie

MIGOGORO

  1. Migogoro ya wahusika.
  • Mzee Lomolomo na Mama Nt’ilie. Chanzo cha mgogoro huu ni tabia ya ulevi ya Mzee Lomolomo. Suluhisho la mgogoro ni kifo cha Lomolomo.
  • Zita na Kulwa. Chanzo cha mgogoro ni Peter kumpeleka Kulwa nyumbani kwao ili wakaishi pamoja. Suluhisho la mgogoro huu ni Peter kuingilia kati na kuamua ugomvi.
  • Peter na Doto. Chanzo cha mgogoro huu ni mwalimu Chikoya kuwafukuza shule wanafunzi hawa… BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI
1 Comment
  1. […] Mama N’tilie […]

Leave A Reply