The House of Favourite Newspapers

RC Makonda Akutana na Kamanda Mpya wa Kanda Maalumu ya Dar

0
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mheshimiwa, Paul Makonda  (kushoto) akimpokea Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es salaam Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Polisi SACP Lazaro Mambosasa akimpokea ofisi kwake leo.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mheshimiwa Paul Makonda leo amefanya Mazungumzo na Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es salaam Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Polisi SACP Lazaro Mambosasa aliekuja kuripoti kwa Mkuu wa Mkoa baada ya kuteuliwa hivi karibuni na IGP, Simon Sirro.

Katika Mazungumzo hayo wamejadili hali ya Usalama Jijini Dar es Salaam na namna ya kuendeleza yale ambayo yaliachwa na IGP Simon Sirro wakati akiwa Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam.

Wakiwa katika picha ya pamoja.
Wakiongea jambo.
Leave A Reply