The House of Favourite Newspapers

Hivi Ndivyo Utakavyoshinda Milioni 100 Kwa Buku Tu…

0

NDANI ya tovuti ya www.sokabet. co.tz ambayo inamilikiwa na Kampuni ya Kubashiri Matokeo ya Sokabet maarufu kwa jina la Wababe wa Kubeti, utapata nafasi ya kushiriki na kubashiri matokeo ya ligi mbalimbali na michezo mingine.

Ili uweze kupata nafasi ya kushiriki na kubashiri matokeo, hizi ni dondoo za kufuata;

1: FUNGUA TOVUTI YA SOKABET

Katika tovuti ya www. sokabet.co.tz utapata kila kitu, ukifungua tu kulia kwako utaona pameandikwa ONLINE, hicho ni kipengele cha kukusaidia kuuliza chochote ambacho unahisi hujaelewa, hapo utajibiwa na mhudumu moja kwa moja.

2: NAMBA YA KAMPUNI 335757

Namba ya kampuni ni 335757 hii utaitumia kuingiza fedha katika akaunti yako kisha unaweza kubeti katika kipengele chochote unachotaka.

3:JIANDIKISHE BURE

Baada ya kuingia www. sokabet.co.tz bonyeza sehemu ya ‘SIGN UP’, jaza nafasi zilizo wazi, ukimaliza utatumiwa namba yako ya siri kwa njia ya SMS, hapo utakuwa umeshafungua akaunti yako.

4: INGIA KWENYE AKAUNTI

Ukimaliza kujiandikisha rejea sehemu ya ‘LOGIN’, andika namba yako ya simu na ingiza namba ya siri ambayo ulitumiwa kwa njia ya SMS, hapo utakuwa umefungua akaunti yako. Ukirejea baadaye kufungua tovuti, hutakuwa na sababu ya kujiandikisha upya, badala yake utaingiza namba ya simu kisha namba ya siri.

  1. INGIZA FEDHA

Kwa Vodacom, bonyeza *150*00#, chagua namba 4 (lipa kwa M-pesa), chagua namba 4 (weka namba ya kampuni), ingiza namba ya kampuni ambayo ni 335757 kisha ingiza kumbukumbu ambayo ni neno ‘Sokabet’.

Baada ya hapo, ingiza kiasi unachotaka, mfano Sh. 1,000 au 5,000 na kuendelea, utamalizia kwa kuingiza namba yako ya siri na bonyeza namba 1 kukamilisha mchakato.

Kwa Tigopesa, bonyeza *150*01#, chagua namba 4 (lipia bili), bonyeza namba 3 (ingiza namba ya kampuni), ingiza namba 335757 kisha ingiza kiasi cha fedha, ingiza neno ‘Sokabet’, malizia na namba yako ya siri ya Tigopesa.

Kwa Airtel, bonyeza *150*60#, chagua namba 5 (lipia bili), bonyeza namba 4 (namba ya kampuni), ingiza namba 335757 kisha ingiza kiasi cha fedha, itakwambia ingiza kumbukumbu namba (hapa ingiza neno ‘Sokabet’), kisha namba yako ya siri ya Airtel Money.

SOKABET JACKPOT INAKUPA SH. 100M

Jackpot ya wiki hii unaweza kushinda Sh. 100,073,396, dirisha la kubeti litafungwa Jumamosi ya Septemba 16, saa 8:00 mchana.

Unatakiwa kutabiri mechi 13 tu, lakini jumla zitakuwa 16 ambapo hizo mechi 3 za ziada huwa zinawekwa kwa dharura endapo itatokea kuna mechi ndani ya zile 13 haikufanyika au haikumalizika.

UKIKOSEA UNAWEZA KUPATA MILIONI 5

Ikitokea umekosea, ukipatia mechi 12 washindi watapata Sh 5,000,000, 11 watapata Sh 2,000,000, 10 watapata ni Sh 1,000,000 na 9 watapata nafasi ya kushiriki bure katika Jackpot inayofuata.

Leave A Reply