The House of Favourite Newspapers

ACACIA Wafanya Sherehe Kuwaaga Wafanyakazi Wao

0
Wafanyakazi wakiendelea kufanya maandalizi kwa ajili ya kuwaaga wafanyakazi wenzao jana.
Muonekano wa viti watakavyokaa wafanyakazi wa Acasia.
Magari yakiwa yamepaki jana.

Acacia yakamilisha usitishaji wa uchimbaji mgodi wa Bulyanhulu. Mgodi huo umepunguza wafanyakazi 1,200, wakandarasi 800, sasa wamebaki wafanyakazi 200.

Ilielezwa kuwa sababu ya kuwapunguza wafanyakazi hao ni kutokana na mwenendo wa soko la madini kutikisika.

KWA UCHUNGU!!! Dudu Baya Amwaga Machozi Kisa Mwanae Wille

Leave A Reply