The House of Favourite Newspapers

Tottenham Yawapiga Real Madrid Bao 3-1 UEFA (Picha + Video)

0
Muonekano wa Uwanja wakati wa mechi Real Madrid na Tottenham  huku ubao wa mabao ukionyesha bao 3-0 dakika ya 64 katika Uwanja wa Wembley Stadium.

Klabu ya Tottenham Hotspur ya Uingereza jana usiku imetinga hatua ya 16 bora ya michuano ya klabu bingwa barani Ulaya baada ya kuichakaza Real Madrid goli 3-1 katika Uwanja wa Wembley.

Cristiano Ronaldo (kulia) akimchemsha Kieran Trippier.

Magoli mawili ya Dele Alli na moja la Eriksen yameipoteza Madrid na kuifanya klabu hiyo kupoteza mchezo wa kwanza kwenye hatua ya makundi tangu mwaka 2012.

Dele Alli’s akishangilia baada ya kutupia bao la pili.

Goli pekee la Madrid lilipachikwa na Cristiano Ronaldo ambaye licha ya kufunga goli hilo hakuwa katika kiwango kizuri sana. Spurs kwa sasa wamefikisha alama 10 huku Madrid ikiwa na alama 7 na itahitaji kushinda michezo miwili iliyosalia ili kufuzu kwenye hatua ya makundi.

Wachezaji wa Real Madrid wakiwa hoi baada ya kupigwa bao 3-1.

Tottenham (3-4-2-1): Lloris 7.5, Alderweireld 6 (Sissoko 24, 6.5), Sanchez 7, Vertonghen 7, Trippier 8, Eriksen 7.5, Winks 7.5 (Dembele 66, 6), Dier 7, Davies 6.5, Alli 8.5, Kane 7.5 (Llorente 79)

Unused subs: Rose, Son Heung-Min, Vorm, Aurier

Bookings: Dembele

Goals: Alli (27, 55) Eriksen (65)

Manager: Mauricio Pochettino 8.5

Real Madrid (4-3-3): Casilla 5.5, Hakimi 6, Nacho 5.5, Ramos 5.5, Marcelo 5 (Hernandez 81), Casemiro 6, Modric 5.5, Kroos 5.5, Isco 5.5 (Mayoral 74, 6), Ronaldo 6.5, Benzema 5 (Asensio 74, 6)

Unused subs: Vallejo, Vazquez, Asensio, Mayoral, Ceballos, Ramos

Bookings: Ramos

Goals: Ronaldo (80)

Manager: Zinedine Zidane 5

Referee: Cuneyt Cakir (Turkey) 6

Leave A Reply