The House of Favourite Newspapers

Usikose Kutazama SpotiHausi leo Saa 10:00 Jioni, Wamfungukia Haji Manara

0
Msemaji wa Klabu ya Simba, Haji Sunday Manara.

SpotiHausi ni kipindi cha #michezo kinacholetwa kwako na #GlobalTVOnline kila #Alhamisi saa 10:00 jioni leo usikose kutazama wachambuzi wa kipindi hiki wamemfungukia msemaji wa Klabu ya Simba, Haji Sunday Manara na watachambua madai yake yote kwa refa aliyechezesha mchezo wa timu yake dhidi ya Yanga.

Ni hapa hapa #GlobalTVOnline Fanya kuingia hapa www.youtube.com/user/uwazi1

Leave A Reply