The House of Favourite Newspapers

Sanchi Siwezi ‘Kuduu’ na Dk. Shika

0
Jane Rimoy ‘Sanchi’.

MWANAMITINDO maarufu Bongo, Jane Rimoy ‘Sanchi’ amefunguka kuwa maneno yanayosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa ana mpango wa kumsaka Dk. Louis Shika ‘aduu’ naye ni uzushi tu, kwani mzee huyo anamuona kama baba yake mzazi.

Dk. Louis Shika

Akizungumza na gazeti hili, Sanchi alisema hata apewe mabilioni ya fedha kamwe hawezi kubanjuka na Dk. Shika mwenye umri unaoendana na wa mzazi wake.

 

“Hakuna kitu kinachoniuma kama watu wanavyosambaza kuwa mimi namtamani sana Dk. Shika, yule ni kama baba yangu kabisa, naanzaje kumvulia nguo? Si nitapata laana bure,” alisema Sanchi.

Matukio kama haya na mengine, Install App Yako ya Kijanja na Namba Moja Tanzania ya Global Publishers

Android ===>Google Play

iOS ===>Apple Store

VIDEO: DK SHIKA KUWEKA HISTORIA USIKU WA 900 ITAPENDEZA

Leave A Reply