Waziri Mkuu Majaliwa Aridhishwa na Maandalizi ya Mei Mosi Kitaifa Singida
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema ameridhishwa na Maandalizi kuelekea sherehe za siku ya wafanyakazi duniani zitakazofanyika kesho Mei mosi, 2025 kitaifa Mkoani Singida katika Uwanja wa Bombadia
Ameyasema hayo leo Jumatano (Aprili…