Chelsea Yavunja Ukuta Old Trafford, Yamchukua Garnacho kwa Euro Milioni 46
Klabu ya Chelsea imethibitisha kukamilisha usajili wa winga chipukizi wa Kimataifa wa Argentina, Alejandro Garnacho, akitokea Manchester United kwa ada ya uhamisho ya Euro milioni 46.
Garnacho mwenye umri wa miaka 21, amesaini…
