Kampuni ya Network Yashirikiana na Flydubai Kuzindua Malipo ya Simu kwa Wateja
Wasafiri wa ndege nchini Tanzania sasa wanaweza kufurahia urahisi wa kulipia tiketi zao kupitia simu za mkononi, kufuatia makubaliano kati ya Shirika la Ndege la Dubai flydubai na Kampuni ya Network. Ushirikiano huu utarahisisha malipo…